• HABARI MPYA

    Monday, December 09, 2013

    HELIKOPTA YATUA UWANJANI BRAZIL KUBEBA MAJERUHI BAADA YA VURUGU KUBWA KUTOKEA MECHI YA VASCO DA GAMA...HILO KOMBE LA DUNIA KAZI IPO

    HELIKOPTA ilitu uwanjani kubeba majeruhi baada ya kutokea vurugu katika mechi ya soka Brazil jukwaani baina ya mashabiki. 
    Mchezo kati Atletico PR na Vasco da Gama, ulisimamishwa Jumapili baada ya mashabiki kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe. Mashabiki waliokuwa wanapigana ilibidi watenganishwe na Polisi wa kutuliza ghasia kwa kuwafyatulia mabomu. 
    Mchezo huo ukaanza tena baada ya saa moja na dakika 10 za kusimama kupisha vurumai. 
    Tukio hili ni baya kwa Brazil, na litaifanya nchi hiyo ijipange kwa matukio ya aina hiyo wakati wa Fainali za Kombe la Dunia.

    Hatari: Vurugu zilizotokea jukwaani baina ya mashabiki zilisababisha helikopta itue kuchukua majeruhi
    An injured fan is carried on a stretcher towards the helicopter after violent clashes between the supporters
    Mashabiki waliojeruhiwa wakibebwa kupelekwa kwenye helikopta
    Separation: Police used rubber bullets to keep warring fans apart as the violence ensued
    Wanatenganishwa: Polisi waliwafyatulia mabomu mashabiki ili kuwatenganisha
    Horrendous: An Atletico fan was set upon by Vasco da Gama fans as things turned nasty
    Mashabiki wa Atletico wakimtimba mateke shabiki wa Vasco da Gama 
    Shocked: A ball girl cries as the violence unfolds in the stadium in front of her
    Hofu: Binti aliyeshika mpira akilia wakati wa vurugu hizo
    Landing zone: The helicopter stopped on the pitch to airlift a severely wounded fan
    Helikopta ilitua uwanjani kuokoa majeruhi
    Carried to help: This supporter was taken to the helicopter on a stretcher to receive aid
    Mashabiki wakichukuliwa ajili ya huduma ya kwanza baada ya kuumia
    Dreadful scenes: For this to happen ahead of the World Cup may worry travelling supporters
    Hii ni kuashiria tahadhari kubwa inapaswa kuchukuliwa wakati wa Kombe la Duni
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HELIKOPTA YATUA UWANJANI BRAZIL KUBEBA MAJERUHI BAADA YA VURUGU KUBWA KUTOKEA MECHI YA VASCO DA GAMA...HILO KOMBE LA DUNIA KAZI IPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top