KWA Brazil kuandaa Fainali za Kombe la Dunia haijatosha kwa Ronaldo Lima, baada ya mshambuliaji huyo wa zamani wa timu hiyo kuchumbia.
Mkongwe huyo mwene umri wa miaka 37 amemchumbia kimwana DJ, Paula Morais - kisha akaposti picha yake kwenye mtandao.
Ronaldo, ambaye alishinda tuzo ya Kiatu cha Dhahabu katika Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1998, amewahi kuoa mara tatu hapo kabla na ana watoto wanne.
Nani ni nani: Gwiji w Brazil ameposti picha ya kumvisha pete ya uchumba Morais
Asante kwa kuja! Morais akifurahia kuvishwa pete ya uchumba na Ronaldo katika siku ya kusherehekea kuzaliwa kwake
Ronaldo akiwa na Morais nchini Italia katika Grand Prix mjini Monza mapema mwaka huu



.png)
0 comments:
Post a Comment