Na Prince Akbar, Cairo
SHIRIKISHO la Soka Afrika limetoa orodha ya wachezaji 10 wa mwisho wa kuwania tuzo kuu ya Mwanasoka Bora Afrika na nyingine ya wachezaji watano wa kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika kwa wanaocheza Afrika pekee.
Katika tuzo kuu, Yaya Toure Ivory Coast na Manchester City, anashindana na Ahmed Musa CSKA Moscow na Nigeria, Asamoah Gyan na Ghana na Al Ain, Didier Drogba wa Ivory Coast na Galatasaray, Emmanuel Emenike wa Nigeria Fenerbahce, John Obi Mikel wa Nigeria na Chelsea, Jonathan Pitroipa wa Burkina Faso na Stade Rennes, Mohamed Aboutreika wa Misri na Ahly, Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon na Borussia Dortmund, Vincent Enyeama wa Nigeria na Lille.
Kwa tuzo ya wachezaji wanaocheza Afrika, watano wanaochuana katika hatua ya mwisho ni Ahmed Fathy, Mohamed Aboutreika wote wa wa Misri na Al Ahly, Rainford Kalaba wa Zambia na TP Mazembe ya DRC, Sunday Mba wa Nigeria na Warri Wolves na Tresor Mputu Mabi wa DRC na TP Mazembe.
Mshindi atatangazwa katika hafla ya utoaji tuzo hizo Alhamisi ya Januari 9, mwakani mjini Lagos, Nigeria.

![]() |
| Yaya Toure anawania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika |

.png)
0 comments:
Post a Comment