• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 24, 2009

  WAKALA WA FIFA SAID TULLY PICHANI...
  Tuli na Tico Tico wa Msumbiji, kushoto ni mwenyewe akiwa peke yake chini akiwa na mkewe Asteria. Picha nyingine yuko na Sam Eto'o  Wakala wa wachezaji anayetambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA, Said Tully ambaye aliwahi kuchezea Coastal Union ya Tanga, akiwa katika pozi tofauti. bongostaz inasubiri kusikia anawarusha vijana Ulaya...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAKALA WA FIFA SAID TULLY PICHANI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top