• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 28, 2009

  MLIOSOMA JITEGEMEE, MNAMKUMBUKA KIMWANA HUYU?


  Kwenu mliosoma Jitegemee sekondari, Dar es Salaam. Mnamkumbuka huyu kimwana? Anaitwa Mwajuma Mkonya kwa sasa yupo UK na ndiye mama wa mtoto huyo hapo, anaitwa Oumar, ameolewa na muslamu mwenzake safi kutoka Guinea, wanaishi wote huko UK.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MLIOSOMA JITEGEMEE, MNAMKUMBUKA KIMWANA HUYU? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top