• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2009

  ZUHURA: MWANAMITINDO NA MWANAMUZIKI
  Zuhura Mrisho Watuta katika picha tofauti: Zuhura pamoja na kuwa mwanamitindo, aliwahi kufanya kazi ya kupaka rangi magari na nyumba, ambayo nitaaluma yake ya awali aliyoisomea Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).
  KImwana huyo pia ni mwanamuziki anayefanya vizuri tu akiwa amekwishatoa albamu moja iitwayo Elimu Penzi.
  Zuhura ni miongoni mwa wasanii wa awali wa Nyumba ya Vipaji (THT), yenye wakali wengine kama Mwasiti, Marlaw na wengine kibao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZUHURA: MWANAMITINDO NA MWANAMUZIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top