• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2009

  WANAFUNZI WA JANGWANI WALIPOZURU THT...

  Jangwani: Wasanii wa kikundi cha Tanzania House of Talent (THT) kinachodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani baada ya onyesho maalumu lililoandaliwa kwa wanafunzi wa Dar es Salaam juzi, linaloelimisha kuhusu mbinu za kupambana maradhi ya UKIMWI na matumizi ya dawa za kulevya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANAFUNZI WA JANGWANI WALIPOZURU THT... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top