• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2009

  MBUNA NAHODHA MWENYE NGEKEWA JANGWANI

  Freddy Mbuna ni Nahodha mwenye ngekewa ya kipekee ndani ya Yanga, kwani msimu huu atanyanyua Kombe la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mara ya nne, tangu mwaka 2004 alipopewa mikoba hiyo. Hapa alikuwa akinyanyua taji la ubingwa wa msimu uliopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBUNA NAHODHA MWENYE NGEKEWA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top