• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 28, 2009

  MA PRO WA YANGA KAZINI LEO KENYA, IVORY COAST

  Mmoja wa wachezaji wa Yanga walio kazini kwenye timu za za taifa, Ben Mwalala


  BONIPHACE Ambani, George Owino na Ben Mwalala, wachezaji wa Yanga ya Dar es Salaam jioni hii wapo Uwanja wa Kasarani mjini Nairobi, Kenya wakiiongoza timu ya taifa ya nchi yao, Harambee Stars katika mchezo wa kuwania kufuzu kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika Kusini, dhidi ya Tunisia.
  Aidha, beki wa kimataifa wa Yanga, Wisdom Ndhlovu naye atakuwa akiiongoza timu yake ya taifa, Malawi wakati itapokuwa kwenye mtihani kama huo wa Kenya, dhidi ya Ivory Coast mjini Abidjan.

  RATIBA KAMILI
  Kenya vs. Tunisia
  Rwanda vs. Algeria
  Togo vs. Cameroon
  Sudan vs. Mali
  Burkina Faso vs. Guinea
  Morocco vs. Gabon
  Mozambique vs. Nigeria
  Ivory Coast vs. Malawi
  Ghana vs. Benin
  Misri vs. Zambia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MA PRO WA YANGA KAZINI LEO KENYA, IVORY COAST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top