• HABARI MPYA

  Wednesday, March 08, 2017

  MAVUGO ALAMBA NUSU MILIONI YA UCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA

  Kocha wa makipa wa Simba, Iddi Salim (kushoto) akimkabidhi tuzo mshambuliaji wa timu hiyo, Laudit Mavugo (kulia) baada ya kuwa Mchezaji Bora wa klabu wa Janauri. Tuzo hiyo huambatana na zawadi ya Sh. 500,000
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAVUGO ALAMBA NUSU MILIONI YA UCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top