• HABARI MPYA

  Sunday, March 19, 2017

  MAN UNITED YATAKATA ENGLAND, YAIFUMUA BORO 3-1 RIVERSIDE

  Marouane Fellaini (kushoto) akishangilia na Jesse Lingard (kulia) baada ya wote kufunga katika ushindi wa Manchester United wa 3-1 dhidi ya wenyeji Middlesbrough leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside. Fellaini alifunga la kwanza dakika ya 30, Lingard la pili dakika ya 62 na la tatu lilifungwa na Antonio Valencia dakika ya 90 na ushei, wakati la kufutia machozi la Boro lilifungwa na Rudy Gestede dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YATAKATA ENGLAND, YAIFUMUA BORO 3-1 RIVERSIDE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top