• HABARI MPYA

    Thursday, March 16, 2017

    ATLETICO MADRID NAYO YASONGA ROBO FAINALI ULAYA

    Kiungo wa Bayer Leverkusen, Karim Bellarabi akimruka beki wa kushoto wa Atletico Madrid, Lucas Hernandez katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Atletico hata hivyo imesonga mbele kwa ushindi wa 4-2 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ATLETICO MADRID NAYO YASONGA ROBO FAINALI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top