Kiungo wa Bayer Leverkusen, Karim Bellarabi akimruka beki wa kushoto wa Atletico Madrid, Lucas Hernandez katika mchezo wa marudiano wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Atletico hata hivyo imesonga mbele kwa ushindi wa 4-2 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment