• HABARI MPYA

  Tuesday, April 04, 2023

  LUKE SHAW AONGEZA MKATABA WA MIAKA MINNE MAN UNITED


  BEKI wa Kimataifa wa England, Luke Paul Hoare Shaw (27) ameongeza mkataba wa miaka minne kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2027.
  Tayari Shaw amekwishaitumikia Manchester United kwa miaka tisa tangu ajiunge nayo mwaka 2014 akitokea Southampton.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKE SHAW AONGEZA MKATABA WA MIAKA MINNE MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top