• HABARI MPYA

  Tuesday, April 04, 2023

  HUYU HAPA KOCHA MPYA WA MAKIPA SIMBA QUEENS


  MABINGWA wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara na Afrika Mashariki na Kati, Simba Queens wamemtambulisha Fatuma Omari kuwa kocha wao mpya wa makipa.
  Fatuma ni kipa wa zamani wa timu ya taifa ya Wanawake Tanzania, maarufu kama Twiga Stars na amewahi pia kuwa kocha wa makipa wa timu ya wanaume ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, KMC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUYU HAPA KOCHA MPYA WA MAKIPA SIMBA QUEENS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top