• HABARI MPYA

  Wednesday, April 05, 2023

  CHELSEA YATOA DROO NA LIVERPOOL 0-0 DARAJANI


  WENYEJI, Chelsea FC jana wamepata sare ya bila kufungana na Liverpool FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Matokeo hayo yanaifanya Chelsea ifikishe pointi 39 katika mchezo wa 29, ingawa wanabaki nafasi ya 11, wakati Liverpool wanatimiza pointi 43 katika mchezo wa 28 na kusogea nafasi ya nane.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YATOA DROO NA LIVERPOOL 0-0 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top