• HABARI MPYA

  Saturday, April 08, 2023

  BALEKE MCHEZAJI BORA LIGI KUU MACHI, ROBERTINHO KOCHA BORA


  MSHAMBULIAJI Mkongo wa Simba SC, Jean Baleke ameshinda tuzo ya Mchezajo Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Machi, huku kocha wake, Mbrazil Robert Oliveira ‘Robertinho’ akibeba tuzo ya Kocha Bora.
  Baleke ameshinda tuzo hiyo akiwaangusha Daruwesh Saliboko wa KMC na Jeremiah Juma wa Tanzania Prisons alioingia nao fainali, wakati Robertinho amewashinda Mtunisia wa Yanga, Nasredine Nabi na Abdallah Mohamed ‘Bares’ wa Tanzania Prisons.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALEKE MCHEZAJI BORA LIGI KUU MACHI, ROBERTINHO KOCHA BORA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top