• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 03, 2021

  REAL MADRID YAPANDA KILELENI BAADA YA KUICHAPA CELTA VIGO 2-0


  MABAO ya Lucas Vazquez dakika ya sita na Marco Asensio dakika ya 53 jana yameipa  Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchezo wa LaLiga Uwanja wa Alfredo Di Stefano Jijini Madrid.
  Kwa ushindi huo,  Real Madrid inafikisha pointi 36 baada ya kucheza mechi 17 na kupanda kileleni mwa La Liga ikiwazidi pointi moja tu wapinzani wao wa Jiji, Atletico Madrid ambao hata hivyo wamecheza mechi 14 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAPANDA KILELENI BAADA YA KUICHAPA CELTA VIGO 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top