Xherdan Shaqiri akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Burnley 3-1 usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na James Milner dakika ya 62 na Roberto Firmino dakika ya 69 wakati la Burnley lilifungwa na Jack Cork dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Station entrance plans on hold due to access concerns
-
Plans for Scarborough Station are criticised for not having sufficient
areas for drop-offs.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment