• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 27, 2018

  ARSENAL WAAMBULIA SARE KWA BRIGHTON & HOVE ALBION, 1-1

  Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 1-1 jana Uwanja The AMEX. Arsenal walitangulia kwa bao la Aubameyang dakika ya saba, kabla ya Jurgen Locadia kuisawazishia Brighton dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAAMBULIA SARE KWA BRIGHTON & HOVE ALBION, 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top