• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 27, 2018

  POGBA ALIPOFUNGA MAWILI MAN UNITED IKISHINDA 3-1

  Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United jana dakika za 64 na 78 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Huddersfield Town jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester.
  Bao lingine la Man United limefungwa na Nemanja Matic dakika ya 28, wakati la Huddersfield limefungwa na Mathias Jorgensen dakika ya 88 na kwa ushindi huo wa pili chini ya kocha mpya wa muda, Ole Gunnar Solskjaer, Mashetani hao Wekundu wanafikisha pointi 32 baada ya kucheza mechi 19, wakiendelea kubaki nafasi ya sita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POGBA ALIPOFUNGA MAWILI MAN UNITED IKISHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top