Gabriel Jesus akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 22 na 50 mara zote akipasiwa na Leroy Sane katika ushindi wa 3-1 wa Manchester City dhidi ya Everton leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Bao lingine la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 69, wakati la Everton limefungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 65 na sasa timu ya kocha Pep Guardiola inafikisha pointi 44 katika mechi ya 17 ikiwazidi pointi mbili Liverpool walio nafasi ya pili wakiwa wamecheza mechi 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Qualifier Chwalinska sets up French Open final against Andreeva
-
Qualifier Maja Chwalinska is one win away from a fairytale French Open
triumph as she sets up a final showdown against Russian teenager Mirra
Andreeva.
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment