• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 22, 2018

  AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI ARSENAL YAIPIGA 3-1 BURNLEY

  Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 14 na 48 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Burnley leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao lingine limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 63 na kwa uishindi huo, Arsenal inafikisha pointi 37 sawa na Chelsea iliyo nafasi ya nne baada ya zote kucheza mechi 18, zikiwa nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 39 za mechi 17, Manchester City pointi 44 mechi 18 na Liverpool pointi 48 mechi 18 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG AFUNGA MAWILI ARSENAL YAIPIGA 3-1 BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top