Lucas Moura (katikati) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la kusawazisha dakika ya 85 katika sare ya 1-1 na Barcelona kufuatia Ousmane Dembele kutangulia kuwafungia wageni dakika ya saba usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Camp Nou. Kwa matokeo hayo, Spurs inamaliza na pointi nane nyuma ya Barcelona yenye pointi 14 na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora zikiipiku Inter Milan ambayo pia imemaliza na pointi na nane baada ya sare ya 1-1 pia na PSV inayomaliza na pointi mbili sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Drake bets $200,000 on Jake Paul to beat Anthony Joshua - with incredible
pay-out - and risks paddling him with his infamous 'curse'
-
Jake Paul doesn't need much help to make himself the unfancied option in
his Netflix mega-fight against Anthony Joshua - but Drake might have just
delivered.
56 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment