• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 22, 2018

  SANCHO AFUNGA DORTMUND IKIIPIGA MONCHENGLADBACH 2-0

  Kiungo chipukizi wa England, Jadon Sancho wa Borussia Dortmund (kushoto) akimtoka mshambuliaji wa Borussia Monchengladbach, Thorgan Hazard jana katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund.  Borussia Dortmund ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Sancho dakika ya 42 na Marco Reus dakika ya 54, wakati la Monchengladbach lilifungwa na Christoph Kramer dakika ya 45 na ushei. Kwa ushindi huo, Dortmund wanaendelea kuongoza Bundesliga kwa pointi tisa zaidi, 42 kwa 33 dhidi ya Monchengladbach 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHO AFUNGA DORTMUND IKIIPIGA MONCHENGLADBACH 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top