• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 23, 2018

  REAL MADRID YATWAA KOMBE LA DUNIA MARA YA TATU MFULULIZO

  Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Al Ain kwenye Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA Jumamosi Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi na kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Luka Modric dakika ya 14, Marcos Llorente dakika ya 60, Sergio Ramos dakika ya 78 na Yahia Nader aliyejifunga dakika ya 90 na ushei wakati la Al Ain limefungwa na Tsukasa Shiotani dakika ya 86 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YATWAA KOMBE LA DUNIA MARA YA TATU MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top