• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 16, 2018

  HAZARD AFUNGA MOJA, ASETI MOJA CHELSEA YASHINDA 2-1 UGENINI

  Edin Hazard akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa Amex kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Hazard pia alitoa pasi ya bao la kwanza la The Blues lililofungwa na Pedro dakika ya 17, wakati la Brighton limefugwa na Solly March dakika ya 66 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAZARD AFUNGA MOJA, ASETI MOJA CHELSEA YASHINDA 2-1 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top