• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 19, 2018

  MURIC ALIVYOIPELEKA MAN CITY NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI JANA

  Kipa Arijanet Muric (kushoto) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Manchester City baada ya kuokoa penalti mbili katika ushindi wa penalti 3-1 kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Leicester City usiku wa jana Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Kevin De Bruyne alianza kuifungia Manchester City dakika ya 14, kabla ya Marc Albrighton kuisawazishia Leicester dakika ya 73 kabla ya Muric kuokoa penalti za James Maddison na Caglar Soyuncu kuivusha Man City 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MURIC ALIVYOIPELEKA MAN CITY NUSU FAINALI KOMBE LA LIGI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top