• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 27, 2018

  HAZARD AFIKISHA MABAO 100 CHELSEA IKIICHAPA 2-1 WATFORD

  Mshambuliaji Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 na ushei, likiwa bao lake la 100 tangu ajiunge na klabu hiyo, kabla ya kufunga na la pili dakika ya 58 kwa penalti katika ushindi wa  2-1 dhidi ya wenyeji, Watford ambao bao lilifungwa na Roberto Pereyra kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Vicarage Road 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAZARD AFIKISHA MABAO 100 CHELSEA IKIICHAPA 2-1 WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top