• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 29, 2018

  RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus dakika ya pili akimalizia pasi ya Paulo Dybala na dakika ya 65 kwa penalti katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sampdoria kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Sampdoria limefungwa na Fabio Quagliarella kwa penalti dakika ya 33 na kwa ushindi huo, Juve inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 19 ikiendelea kuongoza Serie A kwa pointi tisa zaidi ya Napoli wanaofuatia katika nafasi ya pili  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top