• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 22, 2018

  CHELSEA WACHAPWA 1-0 NA LEICESTER CITY STAMFORD BRIDGE

  Mshambuliaji wa Chelsea, Edin Hazard akimtoka Nampalys Mendy wa Leicester City leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Leicester City imeshinda 1-0 pekee la Jamie Vardy dakika ya 51 na kwa ushindi huo inafikisha pointi 25 baada ya kucheza mechi 18 ikipanda kutoka nafasi ya 13 hadi ya tisa, wakati Chelsea inayobaki na pointi zake 37 za mechi inaendelea kushika nafasi ya nne 
     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA WACHAPWA 1-0 NA LEICESTER CITY STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top