• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 22, 2018

  LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 2-0 NA KUJITANUA KILELENI ENGLAND

  Mohamed Salah akishangilia na Virgil van Dijk  baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Molineux, West Midlands. Bao la pili la Liverpool lilifungwa na Virgil van Dijk dakika ya 68 na kwa ushindi huo timu ya kocha Jurgen Klopp inafikisha pointi 48 baada ya kucheza mechi 18, ikiendelea kuongoza ligi kwa pointi nne zaidi ya Manchester City wenye pointi 44 za mechi 17 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA WOLVES 2-0 NA KUJITANUA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top