• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 30, 2018

  KANTE AING'ARISHA CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0

  Kiungo N'Golo Kante akipongezwa na wachezaji wenzake, Ross Barkley na Eden Hazard baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 51 ikiilaza 1-0 Crystal Palace Uwanja wa Selhurst Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Chelsea inafikisha pointi 43 kwa ushindi huo kwenye mechi ya 20, ingawa itaendelea kukaa nafasi ya nne nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 45 za mechi 20 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANTE AING'ARISHA CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top