• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 20, 2018

  BALE ALIPOIPELEKA REAL MADRID FAINALI KOMBE LA DUNIA

  Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Real Madrid dakika za 44, 53 na 55 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Kashima Antlers ya Japan jana kwenye Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi, Falme za Kiarabu.
  Bao pekee la Kashima Antlers lilifungwa na Shoma Doi dakika ya 78 na sasa katika Fainali Jumamosi Real Madrid na itakutana na wenyeji, Al Ain walioitoa River Plate ya Argentina kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 2-2 GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALE ALIPOIPELEKA REAL MADRID FAINALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top