Edinson Cavani akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Paris Saint-Germain kwa penalti dakika ya 71 ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Strasbourg kwenye mchezo wa Ligue !, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Meinau. Bao la Strasbourg lilifungwa na Kenny Lala kwa penalti pia dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Station entrance plans on hold due to access concerns
-
Plans for Scarborough Station are criticised for not having sufficient
areas for drop-offs.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment