Mshambuliaji Denis Suarez akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 26 na 70 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Cultural Leonesa kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Munir dakika ya18 na Malcom dakika ya 43, wakati la Cultural Leonesa lilifungwa na Josep Sene dakika ya 54. Barca inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 1-0 ugenini kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Is this why Roberto Martinez won't bench Cristiano Ronaldo? New report
claims Portugal boss is in talks over joining 41-year-old's Saudi club Al
Nassr amid his 'embarrassing' refusal to sub him against DR Congo
-
Al Nassr are on the hunt for a new manager after parting ways with Jorge
Jesus, who led the club to its 11th Saudi Pro League title this season.
12 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment