Corentin Tolisso akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Bayern Munich dakika za 37 na 69 usiku wa jana katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich, Ujerumani. Robert Lewansdowsk alifunga la kwanza dakika ya nane, wakati bao pekee la PSG lilifungwa na chipukizi Kylian Mbappe dakika ya 50 na kwa matokeo hayo, timu zote zinamaliza na pointi 15 hivyo kutinga pamoja hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Elliot Anderson aims dig at Man United after sealing £116m move to Man City
as he declares: 'I've joined the kings of Manchester'
-
Anderson, 23, joins City on a five-year deal, signing a contract until the
summer of 2031, and becomes the second most expensive British transfer.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment