Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata akiugulia maumivu huku akienda chini baada ya kugongana na beki wa Atletico Madrid, Lucas usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London katika mchezo wa mwisho wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 1-1. Saul Niguez dakika ya 56 kabla ya Stefan Savic kujifunga kuipatia Chelsea bao la kusawazisha dakika ya 75 na kuiwezesha kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi hilo kwa kukufikisha pointi 11, hivyo kuungana na vinara Roma kwenda 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Elliot Anderson aims dig at Man United after sealing £116m move to Man City
as he declares: 'I've joined the kings of Manchester'
-
Anderson, 23, joins City on a five-year deal, signing a contract until the
summer of 2031, and becomes the second most expensive British transfer.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment