Winga wa zamani wa Chelsea, Juan Cuadrado akikimbia kushangilai baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Olympiacos Uwanja wa Georgios Karaiskaki mjini Piraeus, Ugiriki. Bao la pili lilifungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 89 na sasa Juventus inafikisha pointi 11 na kumaliza nafasi ya pili kwenye Kundi D, nyuma ya vinara, Barcelona wenye poinit 14 hivyo wote wanakwenda 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Accra United CEO aims at Middle League qualification
-
Accra United Sporting Club Chief Executive Stephanie Sedinam Quarshie is
confident that her team has the potential to qualify for the middle league
promoti...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment