Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akipiga mpira wa adhabu kiufundi kuifungia bao pekee la ushindi Real Madrid dakika ya 53 ikiichapa 1-0 Gremio ya Brazil katika fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA leo Uwanja wa Sheikh Zayed Sports City mjini Abu Dhabi. Real inaweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutetea taji hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment