Sam Allardyce akishangilia baada ya kuanza kwa ushindi wa 2-0, mabao ya Gylfi Sigurdsson dakika ya 47 na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 73 katika klabu mpya, Everton ikiilaza Huddersfield Town leo Uwanja wa Goodison Park kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Huo ni ushindi wa pili mfululizo, baada ya Jumatano kuifunga 4-0 West Ham United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Is there a hosepipe ban in my area?
-
After England’s driest spring on record followed by the hottest June, the
first hosepipe bans of 2026 have been announced.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment