Jesse Lingard akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 11 na 63 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Man United iliyomaliza pungufu baada ya kiungo wake, Paul Pogba kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 74 kwa kumchezea tafu Hector Bellerin, lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 49 akimalizia pasi ya Aaron Ramsey PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sanders continues dramatic slide in NFL Draft
-
Shedeur Sanders continues to slide in the NFL Draft - with the former
Colorado quarterback not selected in either the second or third round.
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment