Riyad Mahrez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la kusawazisha na la kwanza kwake msimu huu dakika ya 80 katika sare ya 1-1 na West Brom kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power mjini Leicester, Leicestershire kufuatia wageni kutangulia kwa bao la Nacer Chadli dakia ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lead Artist wins Newbury thriller for Murphy
-
Lead Artist edges out Dancing Gemini in a pulsating Lockinge Stakes at
Newbury to give jockey Oisin Murphy his first win in the race.
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment