Nyota wa Brazil wanaocheza Ligi Kuu ya England, Philippe Coutinho, Fernandinho, Gabriel Jesus, Ederson na Roberto Firmino wakiwa kwenye ndege jana usiku kurejea kwenye klabu zao baada ya kuichezea timu yao ya taifa katika mechi mbili mfululizo za kufuzu Kombe la Dunia ikishinda 2-0 dhidi ya Ecuador Ijumaa nyumbani kabla ya kwenda kulazimisha sare ya 1-1 ugenini na Colombia jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Doc Rivers gets real on why James Harden's play style does not lead to
postseason success
-
James Harden is one of his generation's best players, but it seems he
cannot reach the level of success his peers have.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment