• HABARI MPYA

  Thursday, September 14, 2017

  KANE APIGA MBILI, SPURS YAIKANDAMIZA 3-1 BORUSSIA DORTMUND

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 15 na 60 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Spurs lilifungwa na Son Heung-min dakika ya nne, wakati la wageni lilifungwa na Andriy Yarmolenko dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE APIGA MBILI, SPURS YAIKANDAMIZA 3-1 BORUSSIA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top