Mshambuliaji wa Azam FC, Mghana Yahya Mohammed akifumua shuti mbele ya kocha wake, Mromania Aristica Cioaba mazoezini jana usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Simba SC
Beki Mghana, Daniel Amoah akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji mpya, Waziri Junior aliyesajiliwa kutoka Toto Africans iliyoshuka daraja
Wachezaji wa Azam FC wakijifua jana usiku kujiandaa na Simba
Mshambuliaji mpya aliyesajiliwa kutoka Kagera Sugar, Mbaraka Yussuf Abeid akipiga shuti
Winga Mghana, Ennock Atta Agyei mazoezini jana




0 comments:
Post a Comment