Mfungaji wa bao la pili la Manchester City dakika ya 59, Leroy Sane katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland Uwanja wa Light leo baada ya kuangushwa na Didier N'Dong katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Man City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Group to Tinubu: Probe $1.5bn earmarked for Port Harcourt refinery repairs
-
From Okwe Obi, Abuja The Situation Room on Transparency and
Accountability, has urged President Bola Tinubu, to probe the US$1.5
billion budgeted for r...
44 minutes ago
0 comments:
Post a Comment