Mholanzi, Hans van der Pluijm (kulia) akisaini Mkataba wa miaka miwili kufundisha timu mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Singida United leo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mahusiano wa timu hiyo, Sanga Festo
Sanga Festo na Hans van der Pluijm walipotiliana saini leo. Singida imejihakikishia kucheza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu ujao
Katibu wa Singida United, Abdulrahman Salum Sima (kulia) akimkabidhi Pluijm jezi ye Singida United yenye jina lake baada ya kusiani mkataba wa miaka miwili


0 comments:
Post a Comment