MABOSI WA ZANZIBAR WAKIFURAHIA UANACHAMA WA CAF JANA ADDIS
Ujumbe wa Zanzibar katika picha ya pamoja jana mbele ya bendera ya Zanzibar baada ya kupandishwa mjini Addis Ababa, Ethiopia kufuatia mkutano Mkuu wa Shirikisho lam Soka Afrika (CAF) ulioipa uanachama nchi hiyo. Wa pili kulia ni Waziri wa Michezo na Utalii wa Zanzibar, Rashid Ali Juma na kushoto kabisa ni Rais wa Chama cha Soka visiwani humo (ZFA)
0 comments:
Post a Comment