Leonardo Bonnuci akimpongeza Paulo Dybala (kulia) baada ya mshambuliaji huyo kufunga bao pekee dakika ya 42 kwa penalti katika ushindi wa 1-0 dhidi ya FC POrto usiku wa jana Uwanja wa Juventus katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya na Juventus sasa inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-0 baada ya awali kushinda 2-0 Ureno PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment